У нас вы можете посмотреть бесплатно DUKA LA DAWA AGEUZA KUWA HOSPITALI KALIUA,AKAMATWA NA KIPIMO CHA UKIMWI NA VIFAA TIBA MBALIMBALI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#CgOnlineTv #TMDA Mamlaka ya dawa na vifaa tiba TMDA kanda ya magharibi imekamata dawa na vifaa tiba venye thamani ya zaidi ya shilingi millioni 4 katika kijiji cha Kanindo tarafa ya Ulyankulu wilayani Kaliua mkoani Tabora . Kaimu meneja wa mamlaka ya dawa na vifaa tiba TMDA kanda ya magharibi Christopher Migoha amesema dawa na vifaa tiba hivyo vilivyo kamatwa vilikutwa katika duka la dawa la Maliza na yesu linalomilikiwa na mfanyabiashara Zakayo Bagomwa ambapo hatua ya ukaguzi ilifuata baada ya kupenyezewa taarifa ya siri kwa njia ya barua kutoka na wananchi . Aidha vifaa tiba vilivyokutwa katika duka hilo la dawa ni pamoja , vipimo vya virusi vya ukimwi . Mbali na mfanyabiashara huyo kukamatwa na dawa na vifaa tiba hivyo pia amekuwa akiendesha biashara ya kuuza dawa pasipo kuwa na kibali cha kisheria .