У нас вы можете посмотреть бесплатно INSPECTOR HAROUN - Full Interview na Bongo Project или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Haruna Rashid Kahena almaarufu Inspector Haroun (Babuu) ni legend mwingine wa Bongo Fleva aliyefika kwenye meza ya Bongo Project. Hii ni moja ya interview zetu ndefu ambapo Inspector Haroun alikuwa na vingi sana na vya kufurahisha vya kuzungumza nasi. Tunapata kujua historia yake ya muziki na maisha, Gangwe Mobb, mahusiano yake na malegend wengine kama vile Juma Nature, King Crazy GK na Professor Jay. Kwa hayo na mengine mengi sana zikiwemo acapella zake za Mtoto wa Geti Kali, Asali wa Moyo, n.k. Usikose! #inspectorharoun #gangwemobb #bongoproject #bongofleva Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. -------------------- WEBSITE -------------------- bongoproject.org -------------------- SOCIAL MEDIA -------------------- Instagram: / bongo_project Facebook: / bongo-project-102566415873260 -------------------- CONTACT -------------------- Email: [email protected]