• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Jinsi ya kuita Jini | Njia ya pili | Kupata Utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya kupata Utajiri скачать в хорошем качестве

Jinsi ya kuita Jini | Njia ya pili | Kupata Utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya kupata Utajiri 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Jinsi ya kuita Jini | Njia ya pili | Kupata Utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya kupata Utajiri
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Jinsi ya kuita Jini | Njia ya pili | Kupata Utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya kupata Utajiri в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya kuita Jini | Njia ya pili | Kupata Utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya kupata Utajiri или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Jinsi ya kuita Jini | Njia ya pili | Kupata Utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya kupata Utajiri в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Jinsi ya kuita Jini | Njia ya pili | Kupata Utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya kupata Utajiri

Katika video hii utajifunza njia nyingine ya kuweza kuita jini ambaye anaweza kuwa mtumishi pia wa mambo unayoyahitaji bila kukudhuru baadae. Majini ni nini? Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita. Viumbe hawa wana tabia kubwa mbili; 1. Kama walivyo binadamu:- Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa n.k. 2. Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo wa kujigeuza katika umbo lolote wanalotaka na vile vile wanaruka na kwenda wanakotaka au kupita wanakotaka bila kutumia chombo chochote. Taifa la Majini limegawanyika katika makabila Milioni Sabini na mbili (72,000,000) na hata mengine yakiendelea kuzaliana, wana uwezo wa kujifunza lugha yeyote wanaoitaka. Idadi ya Majini tunaweza kukadiria kuwa ni kila Binadamu mmoja kuna Majini 365 sawa na idadi ya mwanadamu mmoja na wanaishi katika Majumba yetu, kwenye Miti, Majangwani, Kwenye Mapango na Sehemu zenye Misitu Mikubwa, Baharini na vyanzo vinginevyo. Majini wako katika aina kuu Mbili (2); Walioamini uwezo wa Mungu na Waliokufuru. Walioamini ni Majini wema ambao wanamtii Mwenyezi Mungu na wanawasaidia Binadamu katika mambo mengi. Waliokufuru ni Majini Waovu ambao ni wakorofi na wanawaletea Watu madhara na Matatizo mara kwa mara. Baba wa Majini anaitwa JANN ambaye kimaumbile yeye ana tofauti ndogo na wenzie kwamba yeye ameumbwa kwa ulimi wa Moto. Pamoja na mambo mengi wanayoyafanya Majini na kujihusisha na binadamu, Majini vilevile wanafanya kazi za Malaika hasa zile za mambo ya kupeleka Habari na kuwalinda Binadamu, mambo ya doria za Angani. Kazi hizi siyo zao lakini kwa vile wanapenda kuiga mambo basi huiga hata kazi ambazo siyo zao. Majini na Binadamu wana sifa zinazofanana kwani wote wana akili na wote watahesabiwa siku ya Kiama na watazawadiwa kwa mema yao na maovu yao, wote wanakula na kuzaa. Kama ilivyo, kuna wataalamu wa Kijini wenye fani sawa na Wataalamu wa Kibinadamu wenye kufanya kazi zinazofanana. Tofauti kubwa iliyopo kati ya Majini na Binadamu ni kwamba; Majini hawana maumbile maalum na wana uwezo wa kujibadilisha katika maumbile mbalimbali ingawa wengi wa Majini wapo katika maumbile ya mbwa, nyoka na ndege. Binadamu wao wana umbile maalum ambalo halibadiliki. Majini wana uwezo wa kuwaingia Binadamu wakati Binadamu hawana uwezo wa kuwaona Majini isipokuwa kwa ufundi maalum. Katika video hizi za njia tofauti tofauti utajifunza njia na taratibu tofauti tofauti za kuita majini. Ni matumaini yangu ikiwa mtu unachangamoto au shida yoyote katika maisha ambayo unahisi huna uwezo wa kuifanikisha isipokuwa kwa njia ya ziada basi karibu kwa kujisaidia mwenyewe. Kwa msaada zaidi pia unaweza kutuandikia katika comment ikiwa ni swali unalo au hoja ya kuhusu viumbe hawa na ungependa kupata majibu ya kina basi usisite kuuliza tutakupatia majibu. Hizi ni njia ambazo ni salama kabisa na zimeshajaribu na wengi na ikiwa unahitaji kufanya basi fanya na uweze kupata matokeo, Watu wengi huongea vitu ambavyo hawavijui na kufundisha mambo ambayo hayawaelewi. Basi ikiwa utajifunza na kuzifanyia kazi njia hizi basi jua kabisa ni mtu ambaye umethubutu kwa namna moja au nyingine, Tangu kuanza kuwekwa video hizi hadi leo basi unaweza kuona ni mangapi kwa watu wengi wameweza kufanya na kufanikiwa kwa naona moja au nyingine. Jinsi ya kuita jini 1; https://www.youtube.com/watch?v=g0BvX... Jinsi ya kuita jini 2; https://www.youtube.com/watch?v=In-ZF... Jinsi ya kuita jini 3;    • Jinsi ya kuita Jini | Aina ya tatu | Kupat...   Jinsi ya kuita jini 4:    • Jinsi ya kuita Jini | Aina ya nne | Kupata...   Jinsi ya kuita jini 5:    • Jinsi ya kuita Jini | Aina ya Tano | Kupat...   Jinsi ya kuita jini 6:    • Jinsi ya kuita Jini | Aina ya Sita | Kupat...   Jinsi ya kuita jini 7:    • Jinsi ya kuita Jini | Aina ya sita | Kupat...   Jinsi ya kuita jini 8:    • Jinsi ya kuita Jini | Aina ya Saba | Kupat...   Jinsi ya kuita jini 9:    • Jinsi ya kuita Jini | Kupata Utakacho | Di...   Jinsi ya kurudisha majini 10:    • Jinsi ya kurudisha Jini | Jini yoyote baad...   Jinsi ya kuita majini (FULL COURSE) Phase 1    • Видео   WALIOJARIBU KUITA MAJINI Jinsi ya kuita jini (Feedback) 1    • Matokeo ya Aliyeita Jini Sal Sal: Nurdin T...   Jinsi ya kuita jini (Feedback) 2    • Aliyeita jini Salsal 2   Jinsi ya kuita jini (Feedback) 3    • Jinsi ya kuita MAJINI | Uthibitisho wa kui...   Jinsi ya kuita jini (Feedback) 4    • Jinsi ya kuita Jini (Feedback)   Jinsi ya kuita jini (Feedback) 5    • Jinsi ya kuita Jini aina ya 10 (Baharini &...   ╔═╦╗╔╦╗╔═╦═╦╦╦╦╗╔═╗ ║╚╣║║║╚╣╚╣╔╣╔╣║╚╣═╣ ╠╗║╚╝║║╠╗║╚╣║║║║║═╣ ╚═╩══╩═╩═╩═╩╝╚╩═╩═╝ Join! ======================================== FACEBOOK /   / 61566429091668   INSTAGRAM /   / rakimsspiritual   TIKTOK /   / rakimsspiritual   X / https://x.com/rakimsspiritual/ WHATSAPP / https://api.whatsapp.com/message/VSDC... ======== Rakims Spiritual: https://www.Unajimu.com/

Comments
  • JINI HUYU WA RUHANI ANALETA BAHATI NA PESA 1 год назад
    JINI HUYU WA RUHANI ANALETA BAHATI NA PESA
    Опубликовано: 1 год назад
  • HUU NDIO MTI UNAOFUNGUA UCHAWI WA MAFUNDO SHEIKH YUSSUF BIN ALLY 1 год назад
    HUU NDIO MTI UNAOFUNGUA UCHAWI WA MAFUNDO SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
    Опубликовано: 1 год назад
  • JINSI YA KUTUMIA MALAIKA 1 год назад
    JINSI YA KUTUMIA MALAIKA
    Опубликовано: 1 год назад
  • JINSI YA KUFUNGUA JICHO LA TATU NA KUONA VITU AMBAVYO WENGINE HAWAWEZI KUVIONA 1 год назад
    JINSI YA KUFUNGUA JICHO LA TATU NA KUONA VITU AMBAVYO WENGINE HAWAWEZI KUVIONA
    Опубликовано: 1 год назад
  • Sababu Ya Mimi Kutoka Katika Ukristo / Eti Wananiita Sheitwani Mimi / Pro. Mazinge 2 года назад
    Sababu Ya Mimi Kutoka Katika Ukristo / Eti Wananiita Sheitwani Mimi / Pro. Mazinge
    Опубликовано: 2 года назад
  • DR SULLE ASIMULIA PETE YA UTAJIRI ILIVYOCHUKULIWA NA MAJINI NA KURUDISHWA KWA MFALME SULEIMAN 1 год назад
    DR SULLE ASIMULIA PETE YA UTAJIRI ILIVYOCHUKULIWA NA MAJINI NA KURUDISHWA KWA MFALME SULEIMAN
    Опубликовано: 1 год назад
  • BALAA!! VIAPO 17 HATARI VYA MAJINI WANAOTOA PESA NA MALI / UKILETA UTANI UNAKUFA WEWE NA NDUGU ZAKO 6 месяцев назад
    BALAA!! VIAPO 17 HATARI VYA MAJINI WANAOTOA PESA NA MALI / UKILETA UTANI UNAKUFA WEWE NA NDUGU ZAKO
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • MAJINI YA DR SULLE YANATOA PESA KWELI AMPA ELIMU USTADHI SHAFII NA MCH. NDACHA 1 год назад
    MAJINI YA DR SULLE YANATOA PESA KWELI AMPA ELIMU USTADHI SHAFII NA MCH. NDACHA
    Опубликовано: 1 год назад
  • Ukitaka Mali za MAJINI, tumia njia hii. 4 года назад
    Ukitaka Mali za MAJINI, tumia njia hii.
    Опубликовано: 4 года назад
  • KISOMO CHA MTU MWENYE MARUHANI 3 года назад
    KISOMO CHA MTU MWENYE MARUHANI
    Опубликовано: 3 года назад
  • USIOGOPE HII VIDEO JINI LILIVYOITWA LIVE NA SHEKHE MWENYE UWEZO KULIKO DR SULLE 1 год назад
    USIOGOPE HII VIDEO JINI LILIVYOITWA LIVE NA SHEKHE MWENYE UWEZO KULIKO DR SULLE
    Опубликовано: 1 год назад
  • UTAJIRI WA MARUHANI 2 года назад
    UTAJIRI WA MARUHANI
    Опубликовано: 2 года назад
  • The Story Book : JINAMIZI ni Jini , Shetani AU Mchawi? 1 год назад
    The Story Book : JINAMIZI ni Jini , Shetani AU Mchawi?
    Опубликовано: 1 год назад
  • MAJINI TUNAISHI NAO 1 год назад
    MAJINI TUNAISHI NAO"ELIMU TU HAUNA"KUNA DUA UKIFUMBAMACHO JINI ANAKUSAFILISHA"DR.SULLE
    Опубликовано: 1 год назад
  • DK SURE ALIVYO ITA MAJINI LIVE, WANASEMA MIMI NI MCHAWI KISA MAJINI 1 год назад
    DK SURE ALIVYO ITA MAJINI LIVE, WANASEMA MIMI NI MCHAWI KISA MAJINI
    Опубликовано: 1 год назад
  • FULL: JINSI Nilivyoenda KUZIMU Kufuata UTAJIRI (TRUE STORY) 1 год назад
    FULL: JINSI Nilivyoenda KUZIMU Kufuata UTAJIRI (TRUE STORY)
    Опубликовано: 1 год назад
  • FAHAMU KUHUSU MAJINI YANAYOWEZA KUKUPA PESA NA UTAJIRI DR SULLE 1 год назад
    FAHAMU KUHUSU MAJINI YANAYOWEZA KUKUPA PESA NA UTAJIRI DR SULLE
    Опубликовано: 1 год назад
  • ATAK NA PUTINA CZY NA ROZMOWY POKOJOWE? DRONY, ZEŁENSKI, TRUMP I KREML 10 часов назад
    ATAK NA PUTINA CZY NA ROZMOWY POKOJOWE? DRONY, ZEŁENSKI, TRUMP I KREML
    Опубликовано: 10 часов назад
  • Jinsi ya kuita Jini.  (Aina ya Kwanza) Kupata Utakacho (DINI YOYOTE) Bila Madhara wala Kafara 30min. 4 года назад
    Jinsi ya kuita Jini. (Aina ya Kwanza) Kupata Utakacho (DINI YOYOTE) Bila Madhara wala Kafara 30min.
    Опубликовано: 4 года назад
  • Njia ya Kuvutia Mwanamke Bila Kujipendekeza | stoicism swahili 8 месяцев назад
    Njia ya Kuvutia Mwanamke Bila Kujipendekeza | stoicism swahili
    Опубликовано: 8 месяцев назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5