У нас вы можете посмотреть бесплатно UBORA WA SARUJI YA HUAXIN HAUNA SHAKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Huaxin ni Saruji inayo zalishwa mkoani Tanga na Mkuranga Tanzania chini ya kiwanda cha Maweni Limestone Limited. Chapa hii ya saruji ina historia ndefu tangu kuanziswa kwake mwaka 1907 huko nchini China. Saruji ya Huaxin inayozalishwa Tanzania imekuwa inaongoza kwa UBORA wake na UJAZO mzuri unaokidhi viwango . Kuna ujazo wa Kilo 50,Tani 1.5 na Ile inayopakiwa katika mtungi maalum unao safirishwa katika roli ambayo ina ujazo wa Tani 30. Kuna aina mbili za Saruji ya Huaxin. 32.5R na 42.5N Kwa sasa Saruji hii ya Huaxin inapatikana kupitia mawakala wetu wote wanaopatikana Tanzania bara na visiwani. Bonyeza kitufe cha subscribe ili uwe kwanza kupata taarifa mbali mbali kuhusu Saruji hii ya Huaxin. Fuatilia kurasa zetu za Instagram https://instagram.com/huaxincement_tz Facebook: Huaxin Cement -MLL na YouTube Huaxin cement Tz • UBORA WA SARUJI YA HUAXIN HAUNA SHAKA Ili upate kupata taarifa mbali mbali sahihi kuhusu Saruji yetu na viwanda vyetu.