У нас вы можете посмотреть бесплатно Malkia Karen - Mama Mkwe (Official Music Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Malkia Karen presents her brand new single " Mama Mkwe " . Follow Malkia Karen Instagram: / malkiakaren Marketing & Promotion Big Boy Mavin : Instagram : / bigboymavin Mama Mkwe Lyrics Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya uhai Tunasherekea hakuna anayetudai Na mliotabiri Hayawi ngoja niwasabahi.. Ndoa inanisitiri Haki ya Mungu Wallah.. Ooh Mama.. mzaa chema umetisha wewe Ehh Kama Sio Juhudi zako Ningempata wapi huyu my bebe? aah aaiyaah Ooh Mamaa.. mzaa chema umetisha wewe Kama sio malezi yako Ningemtolea wapu huyu my bebe?? ooh ooh! Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Allahamdullilah tumevalishana pete Baridi la ubachela hali ilikua tete Mkwe umenikabidhi mwanao Aje anitetee niachane na Upweke we ndo kabari yao Ooh Mama.. mzaa chema umetisha wewe Ehh Kama Sio Juhudi zako Ningempata wapi huyu my bebe? aah aaiyaah Ooh Mamaa.. mzaa chema umetisha wewe Kama sio malezi yako Ningemtolea wapu huyu my bebe?? ooh ooh! Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha #malkiakaren #MamaMkwe