У нас вы можете посмотреть бесплатно LIVE: Habari Kamili Kuhusu Moto Uliolipuka Kituo cha Mafuta Tegeta, Dereva Aongea или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kituo cha mafuta cha Petro kilichopo Tegeta Azania jijini Dar es Salaam, kimenusurika kuteketea kwa moto baada ya gari la kubebea mafuta lililokuwa likipakua shehena ya mafuta kituoni hapo, kupata hitilafu na kushika moto kisha kuteketea lote. Moto huo mkubwa ulisababisha barabara kufungwa kwa muda, na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano kati ya pande hizo mbili, ambapo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na makampuni binafsi ya zimamoto, walifanikiwa kuuzimamoto huo. Shukrani za kipekee zimuendelee dereva wa gari lililoshika moto, Edwin Thomas ambaye kwa ujasiri mkubwa aliweza kuingia ndani ya gari baada ya kuona limeshika moto, akalisogeza kutokakwenye visima vya mafuta lilipokuwepo mpaka pembeni kabisa, ambapo moto ulipomzidi alishuka kwenye gari lakini akiwa tayari ameshaliondoa kwenye visima vya mafuta.