У нас вы можете посмотреть бесплатно Mpina aja kivingine akidai Katiba mpya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina (CCM) leo Jumatano Februari 8,2023 ameibua sakata la Katiba mpya ndani ya Bunge akihoji kuna hatua gani za maandalizi Serikali imefikia. Mpina ametoa kauli hiyo wakati akichangia taarifa za kamati ya sheria na sheria ndogo ambapo amesema Serikali inamkosea Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alishatangaza kukubali kutunga Katiba mpya au kufanya marekebisho kwa katiba iliyopo. Hoja ya kudai Katiba mpya imepelekwa bungeni kwa mara ya kwanza na mbunge wa CCM kwani wakati wote imekuwa ikitajwa na wabunge kutoka vyama vingine nje ya chama hicho Tawala. Mbunge huyo amesema Katiba iliyopo haina nguvu ya kusimamia rasilimali za fedha ndiyo maana kumekuwa na alichokiita tobo la mali za umma.