У нас вы можете посмотреть бесплатно TUNDU LISSU APANDISHWA KIZIMBANI MAHAKAMA KUU, WAFUASI WAIBUA SHANGWE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waibua shangwe baada ya mwenyekiti wao, Tundu Lissu kupandishwa kizimbani katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam ambapo kesi ya uhaini inayomkabili inatarajiwa kuendelea kuunguruma leo, Februari 9, 2026. Katika kesi hiyo, upande wa mashtaka utajibu hoja za kisheria za pingamizi la Lissu kuhusiana na uhalali wa mashahidi fiche wa Jamhuri. Kesi imepangwa kuanza tena leo kwa siku 20 mfululizo za kazi, mpaka Machi 6, 2026. Lissu anakabiliwa na shtaka la uhaini, kinyume na kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, linalotokana na maneno aliyoyatamka kuhusiana na kuzuia kufanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.