У нас вы можете посмотреть бесплатно KUMEKUCHA: ODERO AFICHUA SIRI NZITO "TUNDU LISU KUWA GEREZANI HAKUZUWII MARIDHIANO" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kada wa CHADEMA na Mwenyekiti wa Kamati ya Kusukuma Maridhiano Tanzania, Charles Odero, amesisitiza umuhimu wa vyama vya siasa na Serikali kukaa mezani kufanya mazungumzo ya dhati kwa lengo la kuimarisha mshikamano wa kisiasa na kusogeza taifa mbele kimaendeleo. Akizungumza na Jambo TV, Odero amesema CHADEMA iko tayari kufanya maridhiano na Serikali pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan, licha ya changamoto kubwa ikiwemo kukamatwa kwa viongozi na kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa Taifa, Tundu Lissu. Odero amesema kuwa mazungumzo ya amani ni msingi wa demokrasia na hayawezi kuzuiwa na hasira, kesi za mahakamani au tofauti za kisiasa, akisisitiza kuwa maslahi ya Watanzania yanapaswa kupewa kipaumbele. 📌 Tazama maelezo kamili na msimamo wa Charles Odero kuhusu maridhiano ya kisiasa nchini.