У нас вы можете посмотреть бесплатно BAADHI YA 'SHOWROOMS' DSM VINARA UTAPELI MAGARI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezibua mfululizo wa kashfa za dhuluma na utapeli jijini humo, akitoa onyo kali kwa wamiliki wa 'showrooms' za magari wanaowadhulumu wateja wa mikoani na walezi wanaofuja urithi wa watoto yatima. Katika hatua ya kusafisha hali ya ardhi, Chalamila ametoa makali ya siku saba kwa watu wote waliojipatia ardhi kwa njia zisizo halali kuzirejesha kwa wamiliki wa kweli kabla ya kuumbuliwa hadharani, huku akifungua milango ya ofisi yake kwa wiki moja kutatua kero za wananchi wenye nyaraka halali. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg