У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 18.03.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu katika matangazo yetu na haya ni miongoni mwa tuliyokuandalia ++ Israel imetangaza kumuua waziri anayesimamia masuala ya ujasusi wa Iran Esmail Khatib, wakati Iran ikifanya maziko ya pamoja ya maafisa wake waliouliwa Jumanne. ++Mamia ya wakazi katika baadhi ya vijiji vya bonde la mto Ruzizi wameyahama makazi yao wakikimbia mapigano kati ya jeshi la Kongo na waasi wa AFC-M23 ++ Kesi ya uhamiaji kati ya Rwanda na Uingereza imeanza kusikilizwa leo katika mahakama ya usuluhishi wa kudumu (PCA) mjini The Hague. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.