У нас вы можете посмотреть бесплатно SAMIA ARIDHI KLINIK YALETA KICHEKO KWA WANAWAKE NCHINI-KATIBU MKUU SANGU ATOA AGIZO KWA WATENDAJI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anthony Sanga, amesema moja ya kazi kubwa ya Samia Ardhi Kliniki nikulenga kuongeza asilimia ya umiliki wa ardhi kwa wanawake, ambapo kwa sasa takribani asilimia 28 pekee ya wanawake ndio wanamiliki ardhi. Hatua hiyo ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, za kuhakikisha huduma za ardhi zinatolewa kwa wananchi kwa kuzingatia misingi ya haki na usawa. Sanga amesema hayo mkoani Singida ambapo mbali na mambo mengi amegawa hati miliki pamoja na kusikiliza kero za wananchi huku mkuu wa wilaya ya Singida Godwin Gondwe akibainisha kuwa wilaya ya Singida migogoro yaardhi ndio namba moja kati ya migogoro minne.