У нас вы можете посмотреть бесплатно TOP 10 MIJI MIZURI ZAIDI AFRIKA MASHARIKI.| Darasamedia Podcast Ep1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NIKWAMBIE USIDANYIKE….. ! Kwamba ukanda wa Mashariki mwa Afrika eti hakuna miji mizuri sio kweli!. Miji ipo mizuri sana ambayo inafaa kabisa watu kuishi na kufurahia uzuri wa miji hii ambayo mazingira yake yamekuwa zawadi toka kwa MUNGU iliyoitoa kwa ukanda huu wa bara la Afrika.Kutokana na ushindani uliopo miongoni mwa miji ya Afrika mashariki, .Vipo vigezo vya kimataifa vilivyotumika kusema mji fulani ni mzuri ,mara nyingi vigezo hivi huzingatia muonekano wa vitu vya asili kama vile mito,maziwa,bahari,miti,milima,tambarare na kadhalika Ingawa haimanishi vitu kama mpangilio wa makazi,barabara kwamba havizingatiwi.Lakini baadhi ya vigezo vikuu ni mwonekano wa kijani(the green field), vyanzo vya maji vinavyozunguka mji(water bodies ’round city),milima,mabonde na maeneo ya tambarare katika eneo la mji,usafi na utaratibu mzuri wa kutupa taka(city clarity n’ waste managment