У нас вы можете посмотреть бесплатно Prof. Lipumba kuiongoza CUF kwa jumla miaka 30 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wameamua kumuongeza muda wa miaka mitano mingine Mwenyekiti wa Chama hicho, Profesa Ibrahimu Lipumba ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka 25 na hivyo anaratajia kuweka historia ya kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Siasa ambaye amedumu kwa miaka 30 iwapo atakamilisha miaka mitano aliyopewa. Profesa Lipumba ameshinda kwa kura 216 kati ya kura 592 baada ya kuwashinda wanachama wenzake wanane aliokuwa anachuana nao kuwani wadhifa huo. #azamnewsazamnews Mhariri| @official_jennifersumi