У нас вы можете посмотреть бесплатно FUNZO: SALIMIA WATU UPATE KITU - MWANAMAMA AOKOA NYUMBA YAKE kwa SALAMU TU NDANI ya SGR"... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
FUNZO: SALIMIA WATU UPATE KITU - MWANAMAMA AOKOA NYUMBA YAKE kwa SALAMU TU NDANI ya SGR"... Mwanamama anayefahamika kwa jina la Rose Spendi, mkazi wa Dodoma, amefanikiwa kuokoa nyumba yake iliyokuwa hatarini kuuzwa baada ya kupata msaada wa kisheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Tanzania. Kwa mujibu wa mama Rose, nyumba yake ilikumbwa na matatizo baada ya mpangaji aliyekuwa akiishi humo kudaiwa kufoji nyaraka za umiliki wa nyumba na kuzitumia kukopa fedha katika CRDB Bank bila ridhaa yake. Hali hiyo ilisababisha nyumba hiyo kuwa katika hatari ya kuuzwa ili kufidia mkopo huo. Hata hivyo, baada ya kufuatilia haki yake kwa muda, mama Rose alipata nafasi ya kukutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Tanzania, ambapo alieleza changamoto yake na kuomba msaada wa kisheria. Kupitia msaada huo wa kisheria na ufuatiliaji uliofanywa na wizara hiyo, ilibainika kuwa kulikuwa na udanganyifu katika nyaraka zilizotumika kukopa fedha. Hatua hiyo ilisaidia kusitisha mchakato wa kuuzwa kwa nyumba hiyo na kumrejeshea haki mwenye nyumba halali. Tukio hilo limekuwa funzo kwa wengi kuwa kufuatilia haki kupitia taasisi husika na kuomba msaada wa kisheria kunaweza kusaidia kutatua changamoto kubwa zinazoweza kumkabili mwananchi. mo zengwa ================================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx