У нас вы можете посмотреть бесплатно Waziri mkuu achafukwa mauaji ya mtoto mwenye Ualbino, atoa maagizo mazito или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa vyombo vya usalama, viongozi wa Serikali, dini, waganga wa kienyeji, wazazi, walezi na Watanzania ikiwa ni hatua ya kukomesha vitendo vya mauaji na ukatili kwa watu wenye ualbino. Hatua hiyo inafuatia mauaji ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novath (2) ambaye Mei 31 mwaka 2024, aliporwa nyumbani kwao Kitongoji cha Mbale, Kijiji cha Mulamula, Kata na Tarafa ya Kamachumu, Wilaya ya Muleba, Mkoa wa Kagera na mwili wake kupatikana ukiwa umehifadhiwa katika vifungashio vya plastiki. Majaliwa ameyasema hayo leo Juni 20, 2024 wakati akitoa taarifa bungeni jijini Dodoma kuhusu kupinga ukatili dhidi ya watu wenye ualbino, likiwemo tukio la mtoto Asimwe Novath mwenye umri wa miaka miwili na nusu aliyetekwa Mei 31, 2024 mkoani Kagera ambapo mwili wake ulipatikana Juni 17.