У нас вы можете посмотреть бесплатно Akili ni mali: Ephantus Ndungu ajitengenezea gari kwa mtambo wa jenereta или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanamme wa miaka 38 amewashangaza wengi katika kijiji cha Makuyu kwenye kaunti ya Murang'a kutokana na ubunifu wake wa kipekee. Licha kuwa hajawahi kupata masomo yoyote ya uhandisi, Ephantus Ndung'u, amejitengenezea gari kwa kutumia injini iliyoharibika na vyuma vikuukuu. Gari hiyo ndogo yenye muundo wa trekta linaweza kufanya kazi nyingi za shambani. Sasa Ndung'u anataka ufadhili ili aweze kutengeneza magari zaidi yatakayotumika kurahisishia wananchi kazi katika maeneo tofauti kwa bei nafuu.