У нас вы можете посмотреть бесплатно Shuhudia Ulinzi wa Rais Magufuli Arusha или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Subscribe / uwazi1 RAIS wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli leo anawatunuku kamisheni maofisa wa Jeshi la Wanchi nchini. Tukio hilo linafanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. Maofisa hao 422 wataanza na cheo cha Luteni USU ambapo watakuwa na nyota moja. Ni Rais pekee ndiye mwenye mamlaka ya kutunuku kamisheni hiyo na si mtu mwingine. Rais Magufuli amewatunuku Kamisheni ya LUTENI USU maofisa 422 wa JWTZ waliomaliza mafunzo yao, ambapo kati yao 32 ni wa kike na 390 ni wa kiume. Aidha, kikundi hiki cha maofisa wanafunzi ni cha 61 kutunukiwa kamisheni tangu utawala wa awamu ya kwanza wa Rais Mwl. Nyerere. FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .