У нас вы можете посмотреть бесплатно Tanzania Yazidi Kutikisika: Kilio Cha Watanzania Baada Ya Kauli Za Heche Na Mange! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tanzania yazidi kutikiswa! Katika video hii tunakusogezea kilio, hasira na ukweli mzito kutoka kwa Watanzania baada ya matukio ya hivi karibuni ndani ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche anasema hawaitambui kamati ya uchunguzi ya uchaguzi, kijana mmoja aandika historia kwa kumuuliza Rais Samia kigezo alichotumia kumteua binti yake kuwa Waziri wa Elimu, Yuda Professor 1 atoa mtazamo mkali kuhusu mawaziri kutokuwa wabunge, huku viongozi wa dini na Mange Kimambi wakionya kuhusu jaribio la kugeuza mgogoro wa kisiasa kuwa vita vya kidini. Hii ni sauti ya wananchi—kilio cha watu wanaotaka haki, uwazi, amani na uwajibikaji. Tazama mpaka mwisho uelewe kilichojiri… na uamue mwenyewe kama Tanzania inaelekea kwenye maridhiano au mgawanyiko mkubwa zaidi. 👉 Tuambie kwenye comments: Je, unaiamini kamati ya rais? Je, uteuzi wa familia serikalini ni sahihi? Je, Tanzania inasukumwa katika mgogoro wa kidini au ni propaganda tu? Karibu MIZUKA MEDIA – Mahali penye sauti za wananchi bila upendeleo. #Tanzania #RaisSamia #JohnHeche #MangeKimambi #UchaguziTanzania #MizukaMedia