У нас вы можете посмотреть бесплатно MAZIKO YA BALOZI MWAPACHU KUFANYIKA TANGA MACHI 30 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Mwili wa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashiriki na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Marehemu Balozi Juma Volter Mwapachu, unarajiwa kuzikwa kesho Machi 30 Chumbageni mkoani Tanga, baada ya kuagwa leo nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama serikali na sekta binafsi. Balozi Juma Volter Mwapachu aliyezaliwa mwaka 1942 na kufariki dunia machi 28 mwaka huu 2025, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati akipokea matibabu ameacha mke watoto na wajukuu. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Musa, ametoa salamu kwa niaba ya serikali, huku Baadhi ya viongozi walioongea na ITV wameeleza namna walivyofahamu Balozi JUuma Mwapachu.