У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI KITWANA AFANYA UTEUZI WA MADIWANI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwa mujibu wa sheria namba 7 ya mwaka 2014 ya Tawala za Mikoa iliyompa Mamlaka Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Idrisa Kitwana Mustafa amewateua Madiwani 60 wa Baraza la Jiji la Zanzibar, Mabaraza ya Manispaa,Mabaraza ya Miji na Halmashauri za Zanzibar. lengo ni kwenda kusimamia Mabaraza hayo na kutoa huduma kwa wananchi na kufikia lengo la Serikali. Uteuzi huo umeanza leo tarehe 21 Novemba 2025 na wanatarajiwa kuapishwa siku ya Jumatatu ya Tarehe 24 Novemba 2025.