У нас вы можете посмотреть бесплатно Kilimo cha nyanya aina ya ANNA F1 ndani ya kitalu nyumba, kifanyikacho nje ya msimu. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kutana na wanafunzi wanaosomea shahada ya Kilimo Uchumi na Kilimobiashara katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA). Wakitoa elimu juu ya ukulima wa nyanya aina ya ANNA F1, ndani ya kitalu nyumba. Katika video hii utapata elimu juu ya, Gharama za kuzalisha nyanya aina ya ANNA F1 ndani ya kitalu nyumba, Mahitaji muhimu katika uzalishaji wa nyanya aina ya ANNA F1. muda wa uzalishaji wa ANNA F1 pamoja na muda wa kuvuna. faida za kulima nyanya nje ya msimu.