У нас вы можете посмотреть бесплатно Tenda Radio: Hatua tatu kuzipata tenda za Serikali zawekwa wazi, "biashara ifanywe hivi..." или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#episode2 #yakibabe #nest Hii ni sehemu ya pili ya 'Tenda Radio', ambayo imeruka kupitia radio washirika wetu: Radio Free Africa, Jembe FM, C FM, A FM na Uyui FM, na sasa tunakusogezea hapa. Tuko na Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw. Godfrey Nyaisa ambaye hivi karibuni alitembelewa na mwanamuziki mfanyabiashara Diamond Platinumz ofisini kwake, na kwa mujibu wa Diamond kiongozi huyo alimpa siri ya kuweka sawa biashara yake hatua iliyomfungua macho azidi kupaa kibiashara. Leo ni zamu yako wewe kupewa ramani ya fursa. Ni mwendelezo wa kupeana fursa za jinsi ya kupata fedha na kujiinua kuichummi kupitia zabuni za umma maarufu kama tenda za Serikali, ambazo hivi sasa zinatolewa kupitia Mfumo wa NeST pekee unaosimamiwa na Mamlaka ya udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA). Utamsikia pia, Bi. Vicky Mollel, Meneja wa Huduma za Kanda wa PPRA. Usisahau ku-subscribe na kuweka maoni, maswali au ushauri wako kwenye eneo la comment, tutazifanyia kazi.