У нас вы можете посмотреть бесплатно IFAHAMU MAANA YA NAHYU KWA UFAFANUZI MZURI KWA LUGHA YA KIARABU: SOMO LA 05 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NJOO NIKUPE SIRI ZA KUWEZA KUONGEA KIARABU HARAKA. Najua umepoteza fursa nyingi sana eti kisa ujui kuongea kiarabu. Hakuna kitu kinaumiza kama kutaka kuzungumza lugha ya Kiarabu alafu usijue maneno ya kutumia. Yaani unapenda sana kuongea Kiarabu lakini tatizo ni maneno ya kutumia. Unatamani sana kuongea kiarabu na rafiki yako (Pengine Mwarabu) kwenye simu lakini unashindwa. HAKIKA INAUMIZA SANA.! Labda unapigiwa simu na Mwarabu au mtu yoyote yule anayezungumza kiarabu, alafu unashindwa kumuelewa anamaanisha nini anapokuwa akitumia maneno rasmi kwaajili ya mazungumzo kwenye simu. HAKIKA NAAMI UTAKUWA UMEPATA TABU SANA. HILE TABU ULIYOKUWA UKIPATA YA KUTAKA KUJUA KUONGEA KIARABU FASAHA IMEKWISHA HIYO. #jifunze #kiarabu #nifursa