У нас вы можете посмотреть бесплатно JOKATE ALIVYOSHIRIKI KIKAO MAREKANI CHA 69 KAMISHENI ya UMOJA wa MATAIFA KUHUSU WANAWAKE ... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JOKATE ALIVYOSHIRIKI KIKAO MAREKANI CHA 69 KAMISHENI ya UMOJA wa MATAIFA KUHUSU WANAWAKE ... Katibu Mkuu wa UVCCM ambaye pia ni Mtetezi wa haki za Vijana, Jokate Mwegelo ameshiriki Kikao cha 69 cha Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu Hali ya Wanawake (CSW69) kilichofanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani akiiwakilisha Tanzania ambapo ameelezea jinsi mabadiliko ya sheria aliyofanya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan yalivyochochea zaidi ushiriki wa Wanawake kwenye vyombo vya maamuzi nchini akisema Rais Samia amewaheshimisha Wanawake. KM Jokate ameongelea safari yake ya kiungozi ilivyogubikwa na changamoto alizozigeuza fursa na kufanya aaminike kwenye nafasi mbalimbali Serikalini na CCM "Safari yangu ni ya uthubutu na kupambania mabadiliko, kupitia sera makini, malezi ya Viongozi na mifumo imara ya usaidizi, nimeongoza juhudi zinazowawezesha maelfu ya Vijana kutambua kuwa uongozi ni njia inayowezekana, nikiwa DC Kisarawe tumejenga Shule ya kwanza ya Wasichana ya bweni (Jokate Mwegelo Secondary) nikateuliwa kuwa DC kwenye Wilaya moili nyingine na leo nimekuwa Katibu Mkuu wa kwanza Mwanamke wa UVCCM tangu kuanzishwa kwake 1978" ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Ta... ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx