У нас вы можете посмотреть бесплатно KWA IMANI MUSA VOL 31 (OFFICIAL VIDEO) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KWA IMANI MUSA (VOL 31) Kwa Imani Musa alipokuwa mtu mzima-a Alikataa kuitwa mwana wa binti Farao Akaona vyema kuteseka pamoja na watu wa Mungu ( kuliko kujifurahisha katika dhambi kwa kitambo tuu x2) x2 Umelemewa ndugu na umasikini -----kwa sababu hujatoka nchi ya Farao Umelemewa dada na hayo magonjwa Umelemewa ndugu na roho ya wivu Umelemewa dada na manung’uniko (Musa na waisraeli, walitoka misri nchi ya farao wakaenda kwa mwendo wa siku tatu, ili kumwabudu na kumtumikia Mungu wao,nawe mpendwa, Mungu anakuagiza utoke kwa Farao,Farao ni ile roho mbaya na dhambi uliyonayo mpendwa,nawe ukitoka siku ya leo hakika Mungu huyu wa mwanzilishi atasikia maombi yako) (Toka katika nchi ya Farao twende kanani tuliko ahidiwa) Toka katika nchi ya Farao (twendeni)twende kanani tuliko ahidiwa (Acha wivu mama ) Toka katika nchi ya Farao (twendeni)twende kanani tuliko ahidiwa (Acha wivu dada ) Toka katika nchi ya Farao (twendeni wote)twende kanani tuliko ahidiwa (Acha chuki baba) Toka katika nchi ya Farao (twendeni)twende kanani tuliko ahidiwa (Acha chuki mama) Toka katika nchi ya Farao (twendeni wote)twende kanani tuliko ahidiwa (Ndugu yangu mpendwa,umelemewa na madeni,na dhambi kwa siku nyingi, kwa sababu haujakubali kuhamishwa, katika nchi hiyo, kata shauri siku ya leo, naye hakika Mungu huyu wa mwanzilishi, atakufanya kuwa taifa kubwa,shangwe na vigelegele) (Acha wivu dada) Toka katika nchi ya Farao (twendeni)twende kanani tuliko ahidiwa (Acha wivu mama) Toka katika nchi ya Farao (twendeni wote)twende kanani tuliko ahidiwa (Acha vita mama) Toka katika nchi ya Farao (twendeni)twende kanani tuliko ahidiwa (Acha vita ndugu) Toka katika nchi ya Farao (twendeni wote)twende kanani tuliko ahidiwa (Toka ewe baba) Toka katika nchi ya Farao (twendeni)twende kanani tuliko ahidiwa (Toka ewe mama ) Toka katika nchi ya Farao (twendeni wote)twende kanani tuliko ahidiwa ((Toka katika nchi ya Farao twende kanani tuliko ahidiwa))x2