У нас вы можете посмотреть бесплатно Uchambuzi wa CloudsFm kuelekea mechi ya Singifa black stars l или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
"Sisi Singida tunajiona kama moja ya timu ambazo zinawania ubingwa wa Ligi. Ili uwe bingwa unapaswa kushinda mechi kubwa kama hii dhidi ya Simba" “Kwa ujumla, timu imekuwa ikifanya kazi kwa bidii na inaendelea kujitahidi kuboresha kiwango chake kadri inavyotakiwa. Kwa sasa jambo muhimu kwetu ni kuhakikisha tunarejea katika ubora wetu baada ya mechi iliyopita ya ligi ambayo tulipoteza pointi tatu.” “Tunafahamu kwamba tunakutana na Simba, timu yenye ubora mkubwa, ambayo katika kipindi cha dirisha dogo la usajili wamefanya maboresho kadhaa kwenye kikosi chao kwa kuleta wachezaji wapya. Hivi sasa wanacheza kwa kasi kubwa, wana mtindo wa kushambulia moja kwa moja na pia wanatumia pressing kwa kiwango cha juu.” David Ouma - Kocha wa Singida Black Stars. #singidaVSsimba ##banyaleotv