У нас вы можете посмотреть бесплатно ADO SHAIBU - "IDADI YETU ni NDOGO BUNGENI na HAIJAWAHI KUTOKEA KWENYE UPINZANI NCHI HII".. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ADO SHAIBU - "IDADI YETU ni NDOGO BUNGENI na HAIJAWAHI KUTOKEA KWENYE UPINZANI NCHI HII".. Mohammed Zengwa Dodoma Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Na Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ado Shaibu, amesema kuwa idadi ndogo ya wabunge wa upinzani katika Bunge la 13 ni hali isiyowahi kutokea katika historia ya Tanzania tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Ado alisema hali hiyo inaonesha changamoto kubwa katika mfumo wa kisiasa wa nchi, hasa katika usawa wa uwakilishi wa vyama vya upinzani bungeni. “Idadi yetu ni ndogo sana bungeni, na haijawahi kutokea kwenye upinzani nchini hii. Hata hivyo, ACT-Wazalendo tutaendelea kuwa sauti ya wananchi na kusimamia maslahi ya taifa bila woga,” alisema Ado. Aliongeza kuwa pamoja na changamoto hizo, chama hicho kitaendelea kushirikiana na wananchi na wadau mbalimbali wa demokrasia ili kuimarisha siasa zenye uwiano na heshima kwa haki za kisiasa. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx