У нас вы можете посмотреть бесплатно Motra The Future - The Future Is Now Volume 6 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Song Written and composed By Motra The Future Produced By Kass on the beat Video Shot & Directed by KnK Signed under @intersourcerecords Connect With Motra The Future On: Instagram: / motra_the_future #motrathefuture #intersourcerecords #TheFutureIsNow Vol 6 The future is now vol 6 kuliko niongelee marapa wa bongo bora niongelee malapa uongo maana wana sound ka yule poti anayetaka hongo hawaoni mbele chongo, utadhani hawana ubongo sijui wanamimba maana wanasound kama wanataka udogo vimustach kidogo unajiona osama ful wengi hamna hela na mnaona sana tuu mnaimba mapenzi kila siku kumbe drama tu ndo maana juzi nikawaambia mtaachana tu kuhusu mapenzi nlimwambia yasinta acomment akaniambia ili mdumu mnatakiwa muwe na content yaani lazma uchangamke kwa mwenzio ili usipokuwa akumisi siunajua raha ya mapenzi moments kipindi tuko SUA tuliokoa mtaa saa hii tukiwaza shisha tunaokoa mkaa ujue tulipata shida tukaondoa mzaa matunda yamezaa wale madem walikuwa hawanitaki leo waniita mimi toto wananipeti peti eti twende lini coco tukale mihogo, sijui wananiona mi ni locko waambie siuzi sura , kwanza sipendagi mitoko nyie si mliniambia mi sio size yenu nyie ndo saa hii mmechakaa hamfai menu mmekuwa madunga yembe hamkai kwenu ujana mle mbali uzee ndo mletee kaeni mbali embu hawa mamaku maku , wanaimba matapu tapu halafu , hawana kumi hata kwa baku baku waogea malapu lapu , wanapotea chap chap wakiniona wanabonyea kama wanacheza shaku shaku rap ya elisha , raf mcee, sight more ilikuwa shida si ndo tulikuwa kings kabla ya kings wa alikiba tatizo leaders, ikija michongo wanajiiba walitumia unafki, na ulafi pengo kuliziba ama beast anakataaa soro gani huskii marapa wanalia kama nimeshika korodani ooh, nawaimbisha utadhani ni mkongomani af siogopi nawauwa toka mi solo army nnajiamini hamnitingishi hata kope mnajiita wakali na mnakaa kwa nyumba za matope mnashindia chipsi hamjui kuna matoke mnasingizia kwamba hampati mistari mpaka dope leo niko intersourse, sija inter bila sourse off cause, mwulize Capo vile nishaforce kuingia mjini sio mchezo mpaka kuitwa Boss wengine wanatoaga jicho wakija kimapoz mjue mziki mi umefanya nikazuru mbali umefanya manzi angu asinione dume suruali saa hii nambadilishia mama mboga za ugali mpaka walionihate now , wanakubali Aliyesema ukiona mishe haziendi nenda wewe Ye mwenyewe ni ki ben ten tu anangoja aletewe Ye kazi yake ni kupaka mundende tu kwa mkewe Na bado kila kazi ni mbovu lazma agongewe nyie mnacheza , si Dreamz tunachessa , Nacheza na viungo vya madem zenu kama testa Boshen komesha , r.i.p donii na Lexa Em piga saloot kwanza kisha sema yes sir watoto wa MUNGU huwaga tunaamini hatusumbukii ya kesho sijui tutakulaa nini Ni uhakika maishani baba anatuthaamini Nikiitisha chochochote kina kuja in a minute waswahili toka wanapika majungu hayajakwiva na huku mtaani tuna njaa mpaka tunapata fever wanaoshangaa mi wa wapi kwa kile nnacho derliver arusha mabegani kwangu mji wangu ni gueniva najiskia furaha kuwa hapa , then kama anavyojiskia ustadhi kuwa makka , and hatujawahi ku fake hata siku moja tukapata fame na saa hii hatu rep rep tunabaka , game and am back again Baba ako pon de ting