У нас вы можете посмотреть бесплатно DAWASA yapewa mradi wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali imeikabidhi mamlaka ya maji safi jijini Dar es Salaam DAWASA kutekeleza mradi wa majisafi wa Same -Mwanga-Korogwe zikiwa zimepita siku chache tu baada ya mkandarasi aliyekuwa akitekeleza mradi huo kusitishiwa mkataba kutokana na kusuasua. Mradi huo uliokuwa unatekelezwa na kampuni ya M.A Kharafi Sons kwa gharma ya zaidi ya shilimngi bilioni 95 ulianza mwaka 2014 lakini hata hivyo umeshindwa kukamilika kwa muda ingawa ulikuwa umefikia asilimia 60. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: / azamtvtz ►INSTAGRAM: / azamsports2 ►TWITTER: / azamtvtz ►FACEBOOK: / azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz