У нас вы можете посмотреть бесплатно MKASA WA MOTO OLA BULE WATEKETEZA NYUMBA NA KUHARIBU MALI YA THAMANI MJINI ISIOLO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakaazi wa eneo la Ola Bule wamejitokeza kuomba msaada hii ni baada ya nyumba ya jirani yao kuteketezwa na moto asubuhi ya kuamkia Alhamisi. Akizungumza na runinga ya Waso, kutoka eneo la mkasa, Bi Hadija Halakhe ambaye ni jirani ya muathiriwa amesema moto huo umeteketeza kila kitu kilichokuwemo ndani ya nyumba hiyo . Naye Leyla Mohamed ambaye pia ni jirani ameeleza nguo, vifaa vya malazi, kitanda na vitabu vya watoto wa Sadia Hassan vyote viliteketea hali ambayo Imewaacha kwenye njia panda. Fatuma Ali ameongeza kusema kuwa majirani walijaribu kuuzima moto huo uliokuwa ukiwaka mno lakini juhudi zao hazikufua dafu. Kwa upande wake Bi Aisha Guyo ambaye ni katibu wa maendeleo ya wanawake tawi la Isiolo ametoa wito kwa serikali ya kaunti na wahisani kujitokeza kuwapa vifaa na bidhaa za dharura ikiwemo nguo , blanketi na hata chakula Ili kukimu familia hiyo . Join this channel to get access to perks: / @wasotv WASO TV - Informing and Entertaining