У нас вы можете посмотреть бесплатно Jannah Sounds - Jina langu Ramadhan (Arafa Abdilah Song Cover) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu usikilize na usome lyrics za wimbo huu mzuri unaoelezea fadhila na baraka za mwezi mtukufu wa Ramadhani Wimbo huu unamzungumzia Ramadhani kama mgeni mwenye neema anayekuja mara moja kwa mwaka kutoka kwa Mola Jalali, akileta rehema, msamaha na baraka kwa Waumini. Kupitia beti zake, unatukumbusha umuhimu wa kufunga, kutakasa nafsi, kuimarisha ibada, na kumcha Mwenyezi Mungu. Ni wimbo wa kuhamasisha Waislamu kuupokea mwezi wa Ramadhani kwa furaha, kujitahidi katika saumu, na kunufaika na neema zake kwa ajili ya afya ya mwili na roho. Jina langu Ramadhan Lyrics [Chorus] Jina langu Ramadhan Ziara yangu neema Waislamu fungeni Mpate afya njema Jina langu Ramadhan Ziara yangu neema Waislamu fungeni Mpate afya njema [Verse 1] Ramadhani ndugu yenu nimekuja toka mbali Nimetoka kwa Mola wenu muweza Mola Jalali Ramadhani ndugu yenu nimekuja toka mbali Nimetoka kwa Mola wenu muweza Mola Jalali Kanipa salamu zenu na zawadi mbalimbali Nipokeeni we kwenu ndugu zangu tafadhali Kanipa salamu zenu na zawadi mbalimbali Nipokeeni we kwenu ndugu zangu tafadhali [Chorus] Jina langu Ramadhan Ziara yangu neema Waislamu fungeni Mpate afya njema Jina langu Ramadhan Ziara yangu neema Waislamu fungeni Mpate afya njema [Verse 2] Mimi ni wenu mgeni kunifukuza muhali Kwa mwaka nakuijieni mara moja hilo kweli Mimi ni wenu mgeni kunifukuza muhali Kwa mwaka nakuijieni mara moja hilo kweli Mwezi mmoja nendeni si miezi kumi na mbili Sikae ndipo zamani kwa hali zenu kujali Mwezi mmoja nendeni si miezi kumi na mbili Sikae ndipo zamani kwa hali zenu kujali [Chorus] Jina langu Ramadhan Ziara yangu neema Waislamu fungeni Mpate afya njema Jina langu Ramadhan Ziara yangu neema Waislamu fungeni Mpate afya njema [Verse 3] Nimekuja kwa maandishi ujio wangu halali Nilobeba sirejeshi kwa wataoni kubali Nimekuja kwa maandishi ujio wangu halali Nilobeba sirejeshi kwa wataoni kubali Gusanyeni haya ishi jamani nasema kweli Pia ninayo marashi na osha roho na mwili Gusanyeni haya ishi jamani nasema kweli Pia ninayo marashi na osha roho na mwili [Chorus] Jina langu Ramadhan Ziara yangu neema Waislamu fungeni Mpate afya njema Jina langu Ramadhan Ziara yangu neema Waislamu fungeni Mpate afya njema [Verse 4] Nimefikisha saumu nayo ni nguzo kamili Kama mtanikiribu Mola atawafadhili Nimefikisha saumu nayo ni nguzo kamili Kama mtanikiribu Mola atawafadhili Nafsi hatazikimu zisistawi zenu hali Lengo mche Alimu nia yake iyamani Nafsi hatazikimu zisistawi zenu hali Lengo mche Alimu nia yake iyamani [Chorus] Jina langu Ramadhan Ziara yangu neema Waislamu fungeni Mpate afya njema Jina langu Ramadhan #Ramadhan #Ramadhani #IslamicSong #Qaswida #Nashida #Saumu #MweziMtukufu #Waislamu #Lyrics #IslamicLyrics #SwahiliSong #Baraka #Neema #Rehema #Funga #MolaJalali