У нас вы можете посмотреть бесплатно "I will make sure HSBC event comes here to Kenya." | Herbert Mensah - President of Rugby Africa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais wa muungano wa raga barani Afrika Herbert Mensah amemhakikishia waziri wa michezo wa Kenya Salim Mvurya kuwa atafanya juhudi kuleta msururu wa raga wa dunia, kuchezwa nchini Kenya. Akizungumza katika kikao na wanahabari Alhamisi asubuhi kabla ya kung’oa nanga kwa mashindano ya wanawake wa Afrika ya raga kwa wachezaji saba kila upande, yatakayoanza Ijumaa, rais wa raga Afrika Herbert Mensah ameahidi kufanikisha hilo. Kwa mujibu wa Mensah, Kenya ina talanta ya asili katika raga na umefika wakati wa kuiweka taifa hili katika ramani ya kimataifa. Hata hivyo, rais huyo wa raga ya Afrika, ameirai serikali kufanya kazi bega kwa bega na shirikisho la raga nchini ili kufanikisha ndoto ya taifa hili kuandaa msururu mmoja wa HSBC.