У нас вы можете посмотреть бесплатно MWANAMKE AKUTWA AMEFARIKI GUEST HOUSE, MWANZA"UCHUNGUZI UNAENDELEA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya Miaka 30 hadi 34, ambaye jina lake halijafahamika amekutwa amefariki dunia, katika Nyumba ya kulala wageni (Guest House) katika mtaa wa Miembeni Kata ya Usagara Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, huku chanzo cha kifo chake kikiwa bado hakijafahamika. Tukio hilo lilitokea Usiku ambapo Asubuhi wakati Mhudumu wa Nyumba hiyo ya kulala Wageni, inayojulikana kama First And Last Guest House alipokuwa akikusanya Mashuka kwa ajili ya kufanya usafi, ndipo alipobaini kuwa mlango wa chumba namba 3 ulikuwa umefungwa kwa nje na baada ya kuingia ndani ndipo alibaini tukio hilo.