У нас вы можете посмотреть бесплатно KUTOKA CHANGAMOTO HADI FURSA: HADITHI YA UFUGAJI SAMAKI KWA VIZIMBA ZIWA VICTORIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#UVUVI #ZIWAVICTORIA # FURSA Hadithi ya Uvuvi katika Ziwa Victoria: Safari ya Mabadiliko ya Ufugaji Samaki kwa njia ya Vizimba na Changamoto Zake. Makala hii inaangazia juhudi za vijana na wanawake katika kuboresha hali zao za kiuchumi kwa kutumia rasilimali za Ziwa Victoria kama chanzo cha kipato. Wanawake na vijana hawa wanajihusisha na ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba, mradi mpya unaotekelezwa katika Ziwa Victoria. Licha ya changamoto mbalimbali wanazokutana nazo, ikiwemo gharama za uzalishaji, mabadiliko ya soko na mazingira ya kazi, hawajakataa tamaa. Wanaendelea kupambana kwa lengo la kufikia maendeleo endelevu katika shughuli zao za ufugaji wa samaki na kuinua maisha yao pamoja na familia zao.