• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

KUISHI MAISHA MATAKATIFU скачать в хорошем качестве

KUISHI MAISHA MATAKATIFU 6 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KUISHI MAISHA MATAKATIFU
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: KUISHI MAISHA MATAKATIFU в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно KUISHI MAISHA MATAKATIFU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон KUISHI MAISHA MATAKATIFU в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



KUISHI MAISHA MATAKATIFU

#UTAKATIFU Nini maana ya utakatifu? Utakatifu unatokana na neno la kiebrania “Qadash” likimaanisha “kujitenga au kutengwa” kwa usafi. Pia kigiriki linatajwa kama “Hagios” likimaanisha kutokuwa na makosa/udhaifu au uchafu. Hivyo basi utakatifu ni ule usafi kwa kutengwa na Mungu mwenyewe aliye msafi na asiye na makosa/madhaifu. Tafsiri fupi ya Utakatifu ni usafi wa kiroho na kimwili. “ kwa kuwa mim ni Bwana, Mungu wenu; takaseni nafsi zenu basi; iweni watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu…” (Law 11:44-45) “ kwa maana imeandikwa mtakuwa watakatifu kuwa mimi ni mtakatifu” (1 Pet 1:16) “watakuwa watakatifu kwa Mungu wao…” Law 21:6-7 Utakatifu si tu kutotenda uovu bali kulazimishwa na Kristo mwenyewe. Mtu asijivunie kwamba hatendi maovu basi yeye ni mtakatifu, la hasha lazima awe anazuiwa kutenda uovu na imani. Huu ndio utakatifu. #Kweli_muhimu_kuhusu_utakatifu 1.Utakatifu unahusu mwili, nafsi na roho. Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa, nanyi nafsi zenu na roho zenu na miili yenu mhifadhiwe mwe kamili, bila lawama, wakati wa kuja kwake Bwana wet Yesu Kristo” (1thes 5:23) Vitu hivi ni kama chenza, chungwa na limao ni matunda jamii moja lakini yenye radha tofauti. Watu hawawezi kuona nafsi na roho za wenzao bali mwili tu hivyo basi matendo ya mwili yawe safi pasipo lawama. Utakatifu katika mwili ni pamoja jinsi; Unavyokula mtumishi haifai kula hovyo hovyo na bila ustaarabu -Unavyoongea-tazama petro alitambuliwa hata kwa kuongea kwake kuwa ni mwanafunzi wa Kristo. Kuna usemi wa mwamini, ni tofauti na mataifa. Unavyotembea pia Petro mwendo wake ulimtambulisha kuwa ni mwanafunzi wa Kristo Kumbe kuna mwendo pia wa mwamini, si wa kurukaruka au kuyumbayumba kama mlevi bali wa kujiamini kama aliyebeba maono. Kuvaa hapa lazima mavazi yawe ya kujisitiri. Soma 1Tim2:9. Na pia kupangilia vizuri uvaaji. Mpendwa asichanganye uvaaji katika mazingira mbalimbali na apangilie mavazi vizuri kwa unadhifu. -Pia kuoga, kupasi nguo, na kupaka mafuta na marashi safi. -mpangilio wa nyumba si kwa kuweka vitu hovyo hovyo pia ni sehemu ya utakatifu Kuna wakristo hudhania kiroho ni kuishi maishi bila mpangilio (rough) ya hovyo eti tu ili mradi ana uhusiano mzuri na Mungu. Huu ni upotofu kwani watumishi wa Mungu ni watanashati wakubwa: jifunze kwa Yusufu, mfalme Daudi na Sulemani walikuwa nadhifu sana kiasi cha kumvutia kila mtu. Pia vijana Daniel na wenzake walikuwa nadhifu kiasi cha kupendwa na wafalme wa babeli. 2. Utakatifu ni kitu cha kutafutwa “Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana atakayemwona Bwana asipokuwa nao” (Ebr 12:14) 3. Utakatifu ni lazima kwa anayetaka kumwona Mungu. Rejea Ebr 12:14. Tena Utakatifu ni kuishi na Mungu. 4. Utakatifu ni kujizoeza. Soma Isa 1:16. Tena ni zoezi lisiloisha 1thes 4:7 5. Neno ni takatifu na wanaolifuata lazima wawe watakatifu. Rum 7:12 6. Utakatifu ni makao ya roho mtakatifu. Mdo 2:38 na haiwezekani kuwa mtakatifu pasipo Roho Mtakatifu. Rum 8:28 7.Utakatifu ni upekee; unakuwa maalum ukiwa mtakatifu maana umetengwa na Mungu mwenyewe. 8. Utakatifu ni kuwa nuru. Unakufanya uangaze na uwavutie watu kwa Yesu 9. Utakatifu uhusisha unachotenda na unachowaza. Unachowaza lazima utakitenda. Jinsi ya kuishi maisha matakatifu 1. Penda kusikia maneno ya Mungu Mithali 4:20 2. Badili mtazamo wako “Jihesabu kwamba umekufa katika dhambi unaishi kwa ajili ya Mungu katika Kristo. Rum 6:11 Mara zote utakutana na majaribu lakini unapaswa kuyaambia nimekufa katika hayo yalikuwa ni sehemu yangu ya maisha ya kale. Mimi ni mpya ka ajili ya Kristo. Akili na mwili vijue hivyo na viishi hivyo. 3. Kutengeneza mahusiano na Mungu. Yaani kujiunga kwa Kristo moja kwa moja kunawezesha utakatifu kuwa maisha rahisi. 1Pet 3:20 Ki ukweli japo twafundisha utakatifu, japo twawashawishi watu kuwa watakatifu lakini daima utakatifu haufundishwi. Kila mmoja wetu anapaswa kuishi maisha matakatifu kwa ajili yake mwenyewe na kwa hiyari. UTAKATIFU HAUFUNDISHWI, KUPEWA AU KULAZIMISHWA. Utakatifu ni matokeo ya uhusiano na mtu fulani mtakatifu. Kadri tunavyojiweka karibu mtu mtakatifu ndivyo tunavyoweza kuanza kuuishi utakatifu. Ni sawa kabisa na kuweka msumari kwenye mwali wa mshumaa- msumari utapata moto. Msumari hautakuwa na msaada wowote kwa mshumaa bali wenye utapokea joto la mshumaa. Kwa kadri tunavyojiweka karibu na Kristo, ndivyo tunavyozidi kuwa watakatifu. Zab 61:3-4 Mambo yanayokuhusianisha na Mungu ni pamoja na kusikia, kujifunza na kuliishi neno la Mungu na kudumu katika maombi. 4. Kulinda sana moyo wako. Mit 4:23 5. Thamini wokovu kuwa ni wa thamani. Tujifunze kwa Yusufu aligoma kulala na Potifa kwa sababu moja tu aliogopa kumtenda Mungu dhambi pia kuharibu jukumu lake. Nasi tangu tulipookoka tunapaswa kuuona wokovu ni wa thamani kuliko chochote. Mwa 39:8-10 Ebr 2:3 6. Uwe mwepesi kuomba msamaha unapokosea. Kiburi na ubinafsi ni sumu mbaya kabisa ya utakatifu. Makosa yanakushtaki kila unapomkaribia Kristo na hatimaye utakatifu unaondoka kabisa. 7. Jifunze

Comments
  • Jakubiak o delegalizacji Brauna: Więcej powodów jest wobec KO 3 часа назад
    Jakubiak o delegalizacji Brauna: Więcej powodów jest wobec KO
    Опубликовано: 3 часа назад
  • 5 часов назад
    "W Polsce ceny są zachodnie, a płace wschodnie”. Wielka kłótnia o sens podwyżek
    Опубликовано: 5 часов назад
  • To, co Mongołowie zrobili z rodziną królewską Bagdadu, wstrząśnie tobą. 3 дня назад
    To, co Mongołowie zrobili z rodziną królewską Bagdadu, wstrząśnie tobą.
    Опубликовано: 3 дня назад
  • TRUMP, CARLSON I ROZŁAM PRAWICY W USA 3 часа назад
    TRUMP, CARLSON I ROZŁAM PRAWICY W USA
    Опубликовано: 3 часа назад
  • Malućkiemu kolęduje Mała Armia Janosika 1 день назад
    Malućkiemu kolęduje Mała Armia Janosika
    Опубликовано: 1 день назад
  • Świetny thriller science fiction, który warto obejrzeć | Filmy po polsku 5 часов назад
    Świetny thriller science fiction, który warto obejrzeć | Filmy po polsku
    Опубликовано: 5 часов назад
  • Mała Armia Janosika - Tylko jedna jest taka noc 1 день назад
    Mała Armia Janosika - Tylko jedna jest taka noc
    Опубликовано: 1 день назад
  • Najpiękniejsze Polskie Kolędy 2025 ✨ Świąteczna Składanka (1 Godzina)🎄💫 4 дня назад
    Najpiękniejsze Polskie Kolędy 2025 ✨ Świąteczna Składanka (1 Godzina)🎄💫
    Опубликовано: 4 дня назад
  • Injili Mtaani: UPSF Sua & Mtumishi Conrad Conwell 4 года назад
    Injili Mtaani: UPSF Sua & Mtumishi Conrad Conwell
    Опубликовано: 4 года назад
  • Stop Cham #1394 - Niebezpieczne i chamskie sytuacje na drogach 9 часов назад
    Stop Cham #1394 - Niebezpieczne i chamskie sytuacje na drogach
    Опубликовано: 9 часов назад
  • Japonia właśnie wchodzi do gry o bezpieczeństwo świata — i robi to na serio. 5 часов назад
    Japonia właśnie wchodzi do gry o bezpieczeństwo świata — i robi to na serio.
    Опубликовано: 5 часов назад
  • 🎶 Kolędy Polskie 🌟 60 minut najpiękniejszych kolęd 🎄 Godzina kolęd do słuchania z tekstem 6 дней назад
    🎶 Kolędy Polskie 🌟 60 minut najpiękniejszych kolęd 🎄 Godzina kolęd do słuchania z tekstem
    Опубликовано: 6 дней назад
  • Krwawy Odwet Husarii: Dzień, w którym Horda błagała o litość 1 день назад
    Krwawy Odwet Husarii: Dzień, w którym Horda błagała o litość
    Опубликовано: 1 день назад
  • Nowe zasady od 1 stycznia: emeryci muszą mieć dodatkowe zaświadczenie 5 часов назад
    Nowe zasady od 1 stycznia: emeryci muszą mieć dodatkowe zaświadczenie
    Опубликовано: 5 часов назад
  • Injili Mtaani: Mtumishi Conrad Conwell 4 года назад
    Injili Mtaani: Mtumishi Conrad Conwell
    Опубликовано: 4 года назад
  • PIEKŁO VS NIEBO - WOJNA FRAKCJI LEGO 5 часов назад
    PIEKŁO VS NIEBO - WOJNA FRAKCJI LEGO
    Опубликовано: 5 часов назад
  • SZPITAL - ZDRADZA MNIE Z MOJĄ SIOSTRĄ?! 3 часа назад
    SZPITAL - ZDRADZA MNIE Z MOJĄ SIOSTRĄ?!
    Опубликовано: 3 часа назад
  • GWIAZDKA PEŁNA MIŁOŚCI | Gdy święta dają drugą szansę | Komedia Romantyczna | Lektor PL 3 часа назад
    GWIAZDKA PEŁNA MIŁOŚCI | Gdy święta dają drugą szansę | Komedia Romantyczna | Lektor PL
    Опубликовано: 3 часа назад
  • KOLOROWY CHOWANY Z LUCZEK I PIMPEK w Minecraft! 9 часов назад
    KOLOROWY CHOWANY Z LUCZEK I PIMPEK w Minecraft!
    Опубликовано: 9 часов назад
  • Habari Njema. 4 года назад
    Habari Njema.
    Опубликовано: 4 года назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5