У нас вы можете посмотреть бесплатно EP07 TENOVERTEN-Ubunifu na Kujiajiri:Fursa za Ukuaji Katika Ulimwengu wa Kisasa-Authentic Swahilians или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika episode hii ya saba cha TEN OVER TEN Podcast, tunazungumzia mada ya kuchochea fikra na vitendo: Ubunifu na Kujiajiri. Katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi, ubunifu ni silaha ya kufanikisha ndoto na kutengeneza nafasi mpya za ajira. Tukiongozwa na Jackson na Kefa Victor, Pamoja na mgeni Mr Saad tunachambua kwa kina: Umuhimu wa ubunifu katika soko la kisasa la kazi na biashara.Fursa zilizopo kwa wale wanaotaka kujiajiri na jinsi ya kuzitumia.Changamoto zinazowakumba vijana na mbinu za kuzikabili.Jinsi teknolojia inavyoweza kuwa chombo kikuu cha ubunifu na ajira.Njia za kukuza biashara za kibunifu na nafasi ya serikali katika kusaidia wabunifu.