У нас вы можете посмотреть бесплатно CLOUDSFM wachambua na kutaja sababu na chokochoko ndani ya Simba hali ni mbaya kwa viongozi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu, amesema hana mpango wa kuachia nafasi yake ya uongozi licha ya changamoto mbalimbali zinazoikabili klabu hiyo kwa sasa. Mangungu ameeleza kuwa anaendelea kushika wadhifa huo kwa sababu wanachama na viongozi waliompa dhamana ya kuiongoza Simba bado wanamuamini na wanampa ushirikiano katika kutekeleza majukumu yake. Amesema akiwa kama kiongozi, anatambua uwepo wa changamoto ndani ya klabu, lakini ameahidi kuendelea kufanya kazi kwa bidii kuhakikisha Simba inazidi kupiga hatua na kurejesha mafanikio yaliyotarajiwa na mashabiki pamoja na wanachama wa klabu hiyo. Bodi ya Wakurugenzi ya Simba imesikitishwa na vitendo vya baadhi ya watu kuitisha mkutano na kutoa maneno ya kashfa na kauli zisizo na staha kwa Mwekezaji wa Simba, Ndugu Mohammed G. Dewji. Vitendo hivyo visivyo vya kiungwana, havikubaliki. Uongozi wa Klabu unatoa pole kwa Ndugu Mohammed Dewji. Aidha, uongozi wa Klabu umeliandikia Jeshi la Polisi kuchukua hatua kali za kisheria kwa wote waliohusika katika mkutano huo ama kula njama na kuwafikisha katika vyombo vya dola kwa makosa ya jinai. Bodi inasisitiza kuwa haitabariki wala kuvumilia mtu yeyote atakayeiharibu taswira ya Klabu kwa namna yoyote ile. #mgogorosimba #shidandaniyasimba #simbatatizo #banyaleotv