У нас вы можете посмотреть бесплатно RC CHALAMILA AWAWEKA KIKAANGONI WATENDAJI HAWA, AWABANA "UNIJIBU KWANINI MAENEO YANAPANGISHWA? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka Mhandisi na Afisa mipango miji na watendaji wote wa ardhi kuacha mara moja tabia ya kukodisha maeneo ya wazi na kuanzia sasa maeneo ya wazi yote yatumike ipasavyo kwa wananchi sio yakodishwe kwa wadau kufanya baishara zao kwani ni kinyume na sheria za maeneo ya wazi (Open Space). Hayo ameyasema leo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la TP SINZA wilaya ya Ubungo Jijini Dar Es Salaam mara baada ya kero iliyotolewa na Mwananchi mmoja wa mtaa huo akisema uwanja wa Tp Sinza wao wanatumia kufanya mazoezi lakini kwa sasa umekodishwa kwa wadau. Aidha Rc Chalamila ameliagiza Afisa mipango miji baraza la ardhi la wilaya ya Ubungo, Mkuu wa Wilaya Lazaro Twange Mkurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanasimamia kikamilifu miradi yote hata hii ya maeneo ya wazi ni miradi kwa sababu kuna faida yake kama eneo la afya hasa katika michezo na hata miji kupumilia kwa sababu maeneo mengi yamebana.