У нас вы можете посмотреть бесплатно MR MANGURUWE AMEYATIMBA- SERIKALI YATOA TAMKO - "ANAPOTOSHA - AMEVUNJA SHERIA''.... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MR MANGURUWE AMEYATIMBA- SERIKALI YATOA TAMKO - "ANAPOTOSHA - AMEVUNJA SHERIA".... Bodi ya nyama Tanzania (TMB) imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazotolewa na mfanyabiashara maarufu anayejiita Mr maguruwe kuhusu ufugaji wa nguruwe unaofanyika katika kitongiji cha Zamahelo kata ya Zanka Wilaya Bahi Mkoani DodomaSERIKALI YATAHADHALISHA KUHUSU MR NGURUWE AMEVUNJA SHERIA, ANAPOTOSHA.. Bodi ya nyama imemsajili mfanyabiashara huyo kama mfugaji mdogo wa nguruwe na kwa mujibu wa kanuni za bodi hiyo mfugaji mdogo wa nguruwe anatakiwa kuwa na nguruwe wasiozidi 49 Kaimu Msajili Bodi ya nyama Tanzania John Chasama ameyazungumza hayo leo mara baada ya kutembelea eneo la shamba la nguruwe la mfanyabiashara huyo (Mr Maguruwe) "Mr Maguruwe amekuwa akitoa taarifa kwa watanzania kuwa wawekeze kwenye shamba lake la nguruwe jambo hilo sio sawa kwa kuwa kundi la usajili ambao amesajili ni kundi la wafugaji wadogo ambalo lina ukomo idadi ya nguruwe wanaotakiwa wanaotakiwa kuwa shambani" Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx