У нас вы можете посмотреть бесплатно Waandamanaji wakaidi amri ya jeshi Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waandamanaji wameingia mitaani nchini Tanzania kwa siku ya tatu mfululizo, kukaidi amri iloyotolewa na mkuu wa jeshi la nchi hiyo ya kuwataka kukomesha vurugu hizo. Maandamano yamekuwa yakifanyika katika katika miji mikuu, waandamanaji wengi wao vijana wanaojulikana kwa jina maarufu kama Gen Z, wakitaja uchaguzi mkuu uliofanyika Jumatano kutokuwa huru na wa haki kwa sababu viongozi wakuu wa upinzani walizuiliwa kugombea dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan. #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili