• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Isack Kisiri Laiser, Mkuu wa KKKT- Dayosisi ya Magharibi Kati, Tabora скачать в хорошем качестве

Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Isack Kisiri Laiser, Mkuu wa KKKT- Dayosisi ya Magharibi Kati, Tabora 10 месяцев назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Isack Kisiri Laiser, Mkuu wa KKKT- Dayosisi ya Magharibi Kati, Tabora
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Isack Kisiri Laiser, Mkuu wa KKKT- Dayosisi ya Magharibi Kati, Tabora в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Isack Kisiri Laiser, Mkuu wa KKKT- Dayosisi ya Magharibi Kati, Tabora или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Isack Kisiri Laiser, Mkuu wa KKKT- Dayosisi ya Magharibi Kati, Tabora в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Isack Kisiri Laiser, Mkuu wa KKKT- Dayosisi ya Magharibi Kati, Tabora

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, amemtambulisha rasmi Msaidizi wa Askofu (Dean Mteule) Mch. Frank Richard Mntangi kwa washarika wa Kanisa Kuu Lushoto na wanadayosisi kwa ujumla huku wengine waliotambulishwa ni pamoja na Wakuu wa Majimbo yote 6 ya KKKT-DKMs pamoja na wajumbe wawili wa Halmashauri Kuu ya KKKT-DKMs wanao wakilisha Jimbo la Kusini. Askofu Dkt. Mbilu amefanya utambulisho huo kwenye Ibada ya Jumapili ya leo tarehe 6/4/2025 katika Usharika wa Kanisa Kuu Lushoto kwakuwa Dean Mteule Mntangi ndiye atakayekuwa Mchungaji kiongozi wa Kanisa Kuu.Askofu Dkt. Mbilu pia amewataka wanadayosisi kuwapa ushirikiano viongozi hao ili waweze kutimiza vyema kazi ya Mungu waliyoitiwa. Pia amemshukuru Dean Michael Kanju kwa kazi nzuri aliyoifanya katika Kanisa la Mungu.Dean Kanju amemaliza muda wake wa kutumika katika Ofisi ya Msaidizi wa Askofu pamoja na kufikisha muda wa kustaafu na hivyo tarehe ya Ibada ya kuagwa rasmi na kupewa heshma kwa Ibada maalumu ya Kustaafu kwa heshima itatajwa hapo baadae. Mchungaji Frank Mntangi alithibitishwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa tano (5) baada ya Jubilee yamiaka 125 ya Injili KKKT-DKMs uliofanyika KOTETI Magamba tarehe 03-05/2025,ambapo pia Mch. John Ndimbo alichaguliwa kuwa Mkuu wa Jimbo la Tambarare, Mch. Issai Mweta alichaguliwa kuwa Mkuu wa Jimbo la Pwani, Mch. Ishmael Ngoda, alichaguliwa kuwa Mkuu wa Jimbo la Magharibi, Mch. Anderson Kipande, alichaguliwa kuwa Mkuu wa Jimbo la Kusini, Mch. Charles Kakai, alichaguliwa kuwa Mkuu wa Jimbo Mteule wa Jimbo la Kaskazini na Mch. Tumaini Kallaghe yeye anaendelea kutumika katika Jimbo la Diaspora linalowahudumia Wakristo wanaoishi Uingereza na nchi jirani za Ulaya kama vile Ujerumani, Sweden, Denmark, Norway pamoja na Marekani. Makao Makuu ya Jimbo hili yapo Reading, Uingereza (UK). Baba Askofu Dkt. Isack Kisiri Laiser, Mkuu wa KKKT- Dayosisi ya Magharibi Kati, Tabora ndiye aliyehubiri katika Ibada hii ambaye pia alishiriki Mkutano Mkuu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki na alikuwa mnenaji Mkuu wa Mkutano huo na alipata nafasi ya kulifafanua vizuri neno Kuu la Dayosisi la mwaka 2025 kwa wajumbe wa mkutano huo.Neno kutoka kitabu cha Kutoka 33:14 "Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha". Askofu Leisar, katika mahubiri amewataka wakristo kusimama kwenye Imani ya Yesu Kristo na kuwa tayari kupinga mafundisho potofu na huku akiwataka kusonga mbele kuendelea kumtumikia Mungu na kulijenga Kanisa lake kwa uaminifu mkubwa. Ameongeza kuwa "Kanisa na Mwenye kanisa ambaye ni Bwana Yesu Kristo hahitaji longo longo kwani sio kama mama mkwe,anahitaji kutumikiwa kwa uaminifu na hakuna aliyewahi kushindana na Kanisa akapona" Ameongeza kuwa, kama Walutheri tushike neno la Mungu kikamilifu na tumuombe atusaidie kubadilisha wale wenye akili za hovyo wanaochafua Kanisa na kupotosha Neno la Mungu awarudishie akili zao na neno la Kristo likihubiriwa vizuri hata mawazo na fikra zao zitabadilika na wataacha longolongo zao. Amewakumbusha pia Wachungaji,Wainjilisti na Waumini kufanyakazi kwa bidii na kuacha kuwa ombaomba,wakishatoka kuhubiri Injili waende kufanyakazi ili kujiepusha kufanya mambo ya hovyo. huku akisisitiza kuwa sifa ya mwanaume katika familia sio kuvaa suruali na kuongeza watoto bali ni kuitunza familia yake hivyo ni wajibu wao kufanyakazi kwabidii ili waweze kukidhi mahitaji ya familia zao na hata wakinamama wasiwategemee tu waume zao kuhudumia familia bali pia wao wawe mstari wa mbele kushirikiana na waume zao katika kufanyakazi kwa maendeleo mazuri ya familia.

Comments
  • EPISODE 24: TUNDU LISSU AMBANA ASKARI 5 часов назад
    EPISODE 24: TUNDU LISSU AMBANA ASKARI " UMEINGIA KWENYE 18 ZANGU" ANATETEMEKA HADI KAONDOKA NA MIKE
    Опубликовано: 5 часов назад
  • Sehemu ya Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Abednego Keshomshahara, Kanisa Kuu Lushoto 4 недели назад
    Sehemu ya Mahubiri ya Baba Askofu Dkt. Abednego Keshomshahara, Kanisa Kuu Lushoto
    Опубликовано: 4 недели назад
  • Je Bikira Maria alizaa bila Uchungu?? Kwanini Yesu alifundisha kwa mafumbo ili wengine wasielewe!? 47 минут назад
    Je Bikira Maria alizaa bila Uchungu?? Kwanini Yesu alifundisha kwa mafumbo ili wengine wasielewe!?
    Опубликовано: 47 минут назад
  • 10 библейских событий, доказанных наукой (последнее вас удивит). 7 дней назад
    10 библейских событий, доказанных наукой (последнее вас удивит).
    Опубликовано: 7 дней назад
  • Выращивание помидоров в бутылках на балконе для получения свежих плодов круглый год. 9 дней назад
    Выращивание помидоров в бутылках на балконе для получения свежих плодов круглый год.
    Опубликовано: 9 дней назад
  • Кому мешает армянский кофе? 1 день назад
    Кому мешает армянский кофе?
    Опубликовано: 1 день назад
  • НЕРЕАЛЬНО ОФИГЕННЫЙ ФИЛЬМ ЗАКРУЖИЛ МИР! ПОСТОРОННЯЯ Мелодрамы, фильмы новинки 3 недели назад
    НЕРЕАЛЬНО ОФИГЕННЫЙ ФИЛЬМ ЗАКРУЖИЛ МИР! ПОСТОРОННЯЯ Мелодрамы, фильмы новинки
    Опубликовано: 3 недели назад
  • SEHEMU YA 02: TUNDU LISSU KIBOKO AMBANA MASWALI MAZITO SHAHIDI WA JAMUHURI MPAKA AMEKASIRIKA 4 часа назад
    SEHEMU YA 02: TUNDU LISSU KIBOKO AMBANA MASWALI MAZITO SHAHIDI WA JAMUHURI MPAKA AMEKASIRIKA
    Опубликовано: 4 часа назад
  • EXCLUSIVE! Yaliyomkuta SAMIA Mkutano wa AU Huko Ethiopia 10 часов назад
    EXCLUSIVE! Yaliyomkuta SAMIA Mkutano wa AU Huko Ethiopia
    Опубликовано: 10 часов назад
  • MWNJ. GOODLUCK PETER TEMBA AINGIZWA KAZINI NA MKUU WA JIMBO LA  KIL. KATI MCH. JAVASON MREMA 1 день назад
    MWNJ. GOODLUCK PETER TEMBA AINGIZWA KAZINI NA MKUU WA JIMBO LA KIL. KATI MCH. JAVASON MREMA
    Опубликовано: 1 день назад
  • Что на самом деле ел Иисус? Израиль с Алинe 5 дней назад
    Что на самом деле ел Иисус? Израиль с Алинe
    Опубликовано: 5 дней назад
  • Нищий парень оказался непревзойдённым мастером бокса и избил всех обидчиков. криминальный боевик 7 дней назад
    Нищий парень оказался непревзойдённым мастером бокса и избил всех обидчиков. криминальный боевик
    Опубликовано: 7 дней назад
  • MAKALA MAALUMU SHULE YA SEKONDARI LWANDAI 12 дней назад
    MAKALA MAALUMU SHULE YA SEKONDARI LWANDAI
    Опубликовано: 12 дней назад
  • Самые могущественные короли йоруба, правившие в двадцатом веке. 2 дня назад
    Самые могущественные короли йоруба, правившие в двадцатом веке.
    Опубликовано: 2 дня назад
  • IBADA YA JUMAPILI SIKU YA BWANA YA 7 KABLA YA PASAKA Трансляция закончилась 2 дня назад
    IBADA YA JUMAPILI SIKU YA BWANA YA 7 KABLA YA PASAKA
    Опубликовано: Трансляция закончилась 2 дня назад
  • Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором 1 месяц назад
    Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Как Храм Соломона Был РАЗРУШЕН! 2 месяца назад
    Как Храм Соломона Был РАЗРУШЕН!
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • КАТАР: ЭТО скрывали от всего мира. Пугающая правда пустыни | Документальный фильм 4 дня назад
    КАТАР: ЭТО скрывали от всего мира. Пугающая правда пустыни | Документальный фильм
    Опубликовано: 4 дня назад
  • Что скрывает резус-фактор? Секретная СУПЕРСИЛА, которая сохранилась до наших дней? История для сна 1 месяц назад
    Что скрывает резус-фактор? Секретная СУПЕРСИЛА, которая сохранилась до наших дней? История для сна
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Шокирующая разница между евреями, иудеями и израильтянами | Тайны, которые раскрывает Библия 2 недели назад
    Шокирующая разница между евреями, иудеями и израильтянами | Тайны, которые раскрывает Библия
    Опубликовано: 2 недели назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5