У нас вы можете посмотреть бесплатно Cosmic Energy ni nini? Siri za Ulimwengu na Nishati za ulimwengu. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Cosmic Energy ni nini? Siri za Ulimwengu na Nishati za ulimwengu. Cosmic energy ni nini? Kwanza kabisa fahamu ya kwamba ubongo wako kazi yake sio pekee ya kutengeneza na kufikiria peke yake lakini pia kazi yake ni kupokea yaani hufanya kazi kama receiver vile vile. Inategemea na unazungusha mawimbi wapi nao utapokea maelezo vema. Mathalani tunapokuja kwenye maelezo ya Cosmic Energy. Kwanza kabisa fahamu ya kwamba cosmic energy, ni nguvu ambayo ipo kila sehemu ambapo yupo mwanadamu yaani kwa kiswahili rahisi ni nguvu ya roho ambayo ipo kila sehemu waliokufuru huita Mungu. Lakini walioshukuru huita malaika wa Mungu ama betri za roho, Roho yako ni sawa na simu iliyoishiwa charge muda mwingine hujicharge automatic lakini muda mwingine inategemea wewe mwenyewe unataka iwe na charge kwa asilimia ngapi. YALIYOMO 0:00 Intro 0:34 Cosmic Energy ni nini? 2:28 Dalili za kuingiwa na Cosmic Energy 3:30 Kupokea cosmic Energy kupitia Ndoto 4:20 Cosmic Energy kupitia Tv 4:30 Cosmic Energy kupitia Muziki 5:50 Cosmic Energy kupitia Hesabu 8:00 Cosmic Energy na Energetic za Kishetani Cosmic energy ni nguvu ambayo ipo kila sehemu aliyopo mwanadamu ambayo inamfanya atambue na ajue ya kwamba kila kitu kimeungana. Na vyote huenda kwa hesabu na pia kwa mizani sawa na yeye anaweza kuwa ama kufika ama kusikia chochote pale pale alipo ikiwa atakuwa na maarifa. Kila kitu kimeunganika na kimeungana yaani wewe, dunia, galaxy na kila kitu. Jinsi tunavyoishi maisha yetu ya kila siku ni kutokana na haja na uthubutu tulionao na kile tulichopangiwa kwa mizani yake mwenyewe Roho ya kwanza ama chanzo cha roho, Mara nyingi na watu wengi hupokea nguvu hizi kwa kupitia fikra yaani pale fikra chanya inapokuijia ya kufanya mabadiriko ya maisha yako ama watu wengine au mazungira yako kuwa vizuri basi huwa ni kama redio yenye kupokea transmition kutoka kwenye roho iliyo takasika ama zilizo takatika. watu wengi hawatambui hili pale ambapo nguvu hii inapowashukia na mara nyingi watu wenye imani husema nimeongozwa na roho takatifu katika kufanya hili lakini pia wapigaji nao hudanganya watu kwa kusema hivyo na kinachobaki kwao ni kujideceive wenyewe tu. Kuna ishara tofauti tofauti kwamba muda huo wewe unapokea cosmic energy katika maisha yako ambapo ya kwanza ni 1: Msukumo wa ghafla Ndio unapokukuta msukumo wa ghafla na ambao ni chanya wa kukusukuma ufanye kitu ama kuanza jambo na unajikuta unatamani ama kulipenda katika roho yako yaani kabla hujafanya unaanza kusikia raha rohoni. Ambapo hii unakuta moja kwa moja inakuongoza kurudi katika makusudio ama sababu ya wewe kuwa hapa duniani. 2: Ndoto Hii ni kutokana na baadhi ya watu waliotangulia kabla yetu na mafunzo ya dini na mitume kufundisha kwamba Watu wengi hujicharge automatic yaani ile iliyokadiriwa pale tu wanapoingia kulala usiku maana kiimani usingizi ni nusu ya kifo yaani ukiingia kulala roho hutoka na kwenda anapopataka Mwenyezi Mungu haya mafunzo yapo kidini pia. Ndio maana pale unapolala unaweza kupokea ujumbe kutoka katika mwili na roho yako. vile vile kuwa na ndoto ambazo kwa hakika hukuwahi kujua kabla mfano taarifa ama maarifa ya kitu mwanzo wa maarifa ya wengi ni kupitia mawazo na ndoto. 3: Subconscious mind Hii hutokea hata wakati wa kuangalia video au movie kisha inakupa majibu ambayo ulikuwa unajiuliza yaani kama vile wale characters wanakuwa wanakupa taarifa ya jambo ambalo unajiuliza muda mrefu kisha unakuwa umepata majibu pale. Ama kuskia mziki ukiwa umebeba ujumbe ambao ulikuwa unataka kuusikia yaani ukisikiliza huo wimbo unasikia imani inapanda ama mlio ama ayah ama vifungu vya biblia. Tena inakuwa inarelate na swali ambalo ulikuwa unajiuliza sana hupati majibu mfano mimi nitatajirika vipi kisha majibu yanafunguka pale pale na hii ni kutokana na roho zinakuwa zinaongea na wewe kupitia subconcious mind kukwambia purpose yako ni ipi ya kufanya, 4: Kuvutia kuelekea wazo moja Unaweza kujikuta kila unachofanya labda unaangalia movie na marafiki unakua na wazo limekuganda linakuvuta ulifanyie kazi, ukikaa unakuwa una waza hilo hilo jambo moja tu kutaka kulifanya basi hii ni cosmic energy inajaribu kukupa taarifa kwamba unachelewa muda wa kuanza. 5: Hesabu takatifu Kuna usemi usemao katika hesabu za fizikia kwamba hesabu ni lugha ya ulimwengu yaani ukitaka kuongea na ulimwengu mzima basi piga hesabu ambapo kuna maomba ya dunia na ulimwengu na mwili wa mwanadamu ambayo yana ujumbe mkubwa sana kwake akiamua kusikiliza, #meditation #fypviralシ #tanzania #rakimsspiritual ╔═╦╗╔╦╗╔═╦═╦╦╦╦╗╔═╗ ║╚╣║║║╚╣╚╣╔╣╔╣║╚╣═╣ ╠╗║╚╝║║╠╗║╚╣║║║║║═╣ ╚═╩══╩═╩═╩═╩╝╚╩═╩═╝ Jiunge Nasi katika! ============================================ facebook / / 61566429091668 instagram / / rakimsspiritual tiktok / / rakimsspiritual x / https://x.com/rakimsspiritual/ WhatsApp / https://api.whatsapp.com/message/VSDC... Rakims Spiritual