У нас вы можете посмотреть бесплатно KIHONGOSI AONESHA KUTORIDHISHWA NA KASI YA UJENZI SOKO KUU BARIADI ASISITIZA LIKAMILIKE KWA WAKATI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa Soko Kuu la Bariadi mkoani Simiyu, mradi unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 26. Akizungumza leo wakati wa ukaguzi wa mradi huo wilayani Bariadi, Kihongosi ameitaka Halmashauri ya Mji wa Bariadi kusimamia kwa karibu mkandarasi ili kuongeza kasi ya utekelezaji na kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati na kuanza kuwanufaisha wananchi na wafanyabiashara wa eneo hilo. Katika ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu, Kihongosi amesisitiza kuwa CCM itaendelea kusimamia ipasavyo matumizi ya fedha za umma katika miradi ya maendeleo ili kuhakikisha inatoa matokeo yaliyokusudiwa. Aidha, amesema kuwa watu wanaosema kazi haijafanyina hao ni wapotoshaji na chama Cha Mapinduzi kina wajibu wa kulinda haki na maslahi ya wananchi.