У нас вы можете посмотреть бесплатно Maiti ya mwanamke aliyeaga dunia Saudia yawasili nchini или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jioni ya leo, visa vya masaibu ya wakenya wanaoenda kutafuta ajira mashariki ya kati vimeibua maswali mapya, huku maiti ya mkenya aliyefariki nchini humo kwa njia tatanishi ikiwasili nchini. Mwili wa Caroline Aluoch aliyefariki zaidi ya miezi miwili iliyopita nchini Saudi Arabia umewasili adhuhuri ya leo katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta. Na kama Gatete Njoroge anavyoarifu, upasuaji wa maiti unatarajiwa kufanyika kesho kubaini endapo alijitia kitanzi kama ilivyodaiwa na serikali ya Saudi Arabia au la