У нас вы можете посмотреть бесплатно 🙆🏻♂️ Hii ni Nguvu ya Roho Mtakatifu ambayo wengi hawajaijua bado | Pastor Ulenje - Moyo wa Maombi. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu Challange ya Siku 100 kuwa karibu zaidi ya Roho Mtakatifu; Tutajifunza kwa vitendo; na kukua pamoja. Na leo tunajifunza Nguvu ya Roho Mtakatifu ambayo wengi hawaifahamu ndiyo maana wanachukulia kuwa na Roho Mtakatifu ni nafsi ya kawaida tu. lakini kama ukiijua siri hii basi hautabaki kama ulivyo; hakika utapanda viwango vya kiroho na kila eneo la maisha yako; na utaona vifungo vya giza vikiachia; na roho ya kifalme ikianza kutenda kazi ndani yako. Bonyeza hii link kujiunga na group la WhatsApp la Maombi https://chat.whatsapp.com/JBDpnf9X9R5... #maombi #motivation #kanisakatoliki #imani #mahubiri #nenolamungu #maombi #maombiyausiku #maombiyasiku #mchungaji #pastorsunbellakyando #pastortony