У нас вы можете посмотреть бесплатно NTSA yazindua msako kwenye barabara ya Nairobi-Eldoret, magari zaidi ya 225 yanaswa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Halmashauri ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani(NTSA) imetekeleza msako kwenye barabara kuu ya Nairobi Eldoret katika juhudi za kupunguza ajali barabarani. Msako huo unaotekelezwa kwa ushirikiano na maafisa wa trafiki katika kaunti ya Uasin Gishu, unalenga uendeshaji mbaya wa magari, uchovu wa dereva na umiliki wa leseni zisizo halali. Magari 25 tayari yamenaswa kutokana na kuendeshwa kwa kasi, yakiwemo magari 18 ya kibinafsi ambayo madereva wake wanatarajiwa kufikishwa mahakamani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive