У нас вы можете посмотреть бесплатно VIJANA WAPATA FURSA! 🔥 SHILINGI BILIONI 200 ZINAWEZESHA VIJANA KUANZA VIWANDA, MIKOPO NA AJIRA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali kupitia Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana imetoa Shilingi Bilioni 200 kwa ajili ya vijana kuweza kuanzisha viwanda, kupata mikopo na ajira. Fedha hizi zimetolewa kwa wizara mbalimbali kama ifuatavyo: 🔹 Wizara ya Mifugo na Uvuvi – kusaidia vijana kushughulika na ufugaji na uvuvi 🔹 Wizara ya Kilimo – milioni 6 kwa ajili ya vijana wanaoshughulika na kilimo 🔹 Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari – bilioni 5 kwa vijana wa teknolojia na ubunifu 🔹 Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo – bilioni 5 kwa wanamuziki, wasanii, wabunifu na vipaji mbalimbali 🔹 Wizara ya Viwanda na Biashara – fedha kwa wanzishaji wa viwanda vidogo: kuzalisha magari, furniture, aluminum, mifuko ya vifungashio na mikate • Vijana wanapokea mtaji rasmi kupitia taratibu za wizara • Mpango wa Industrial Share umeanzishwa – maeneo maalumu ya viwanda kwa wanzishaji vijana • Lengo ni kuwafanya vijana washiriki kikamilifu katika uchumi badala ya kuwa watazamaji • Fursa zinapatikana ndani na nje ya nchi – ajira, biashara, na miradi ya ufundi Huu ni mwanzo wa kihistoria wa mapinduzi ya kiuchumi kwa vijana wa Tanzania. Tazama sasa ujue jinsi unavyoweza kushiriki na kutumia fursa hizi! #VijanaPlatform #JoelNanauka #MaendeleoYaVijana #YouthEmpowerment #FursaKwaVijana #IndustrialShare #AjiraKwaVijana #MadeInTanzania #TanzaniaMpya #SisiNiTanzania