У нас вы можете посмотреть бесплатно Wauza samaki soko A waangusha kilio, mwenzao kutuhumiwa kumuua mumewe-MBALIZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwenyekiti wa kitongoji cha Mbalizi Paul Komeka Mwampamba amelazimika kuitisha mkutano wa ghafla katika soko A lililopo Mbalizi jimbo la Mbeya vijijini, kuelekea sakata la mwanamke aliyetambulika kwa jina la Odina Sanga mfanya biashara wa samaki katika soko hilo. Mwampamba amesimulia sakata zima la mwanamke huyo ambaye alipanga njama za kutaka kumuua mumewe "kwa sababu zisizo julikana" kwa kukodi majambazi ili kutekeleza njama hiyo ya mauaji, suala hilo lilingia dosali baada ya mama wa muuaji kugundua mpango huo baada ya kusimuliwa na muuaji kupewa jukumu hilo na kufikishiwa taarifa. Katika mkutano huo mwenyekiti amekemea tabia hiyo na kuwataka watu wote pale itokeapo changamoto yeyote ndani ya Ndoa kufuata taratibu za kiserikali hasa kwa hatua za mwanzo kufika kwenye Dawati la Jinsia na watoto katika ustawi wa jamii.