У нас вы можете посмотреть бесплатно 🕌 MAULID YA MAJALISI EL-ULAA EL-QAADIRIYA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu tuungane katika sherehe tukufu ya Maulid ya Mtume Muhammad ﷺ iliyoandaliwa na Majaalis El-Ulaa El-Qaadiriyya katika Uwesiya, Mtaa wa Muheza – Kariakoo, Dar es Salaam. 📖 Hafla hii imejaa nuru ya Qur’an, Qaswida, Madah na mawaidha kutoka kwa Masheikh, kwa ajili ya kuenzi na kumkumbuka Mtume wetu mpenzi ﷺ. ✨ Lengo ni kuimarisha imani, kuongeza mapenzi kwa Mtume ﷺ, na kukuza mshikamano wa Kiislamu kupitia elimu, dua na baraka za maulid. 📢 Usikose kushiriki nasi moja kwa moja au kutazama tukio hili kupitia chaneli hii. 🔔 Subscribe ili upate matangazo ya vipindi vyote vya baadaye vya Majaalis El-Ulaa El-Qaadiriyya. ❤️ Share na ndugu na marafiki kwa ajili ya kusambaza kheri.